Happy Birthday GSM

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Nov 2023
Happy Birthday GSM

Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa Mwenyekiti wa Makampuni ya GSM, Ghalib Said Mohammed 'GSM'

Baada ya kipindi kigumu kwa Yanga hasa baada ya aliyekuwa Mwenyekiti Yusufu Manji kuingia matatani mwaka 2015, mwishoni mwa mwaka 2019 GSM akaingia Yanga akiwa Mfadhili

Alianza kwa kugharamia baadhi ya sajili pamoja na kuisaidia Yanga kwenye kulipa mishahara

Baadae kampuni yake ikashinda Tenda ya kuzalisha, kusambaza jezi na bidhaa nyingine zebye nembo ya Yanga

Leo hii Yanga iko imara kiuchumi, imerejesha ubabe wake kwenye soka la ndani  na sasa imeanza kuvuka mipaka kuliteka soka la Afrika

GSM kwa mapenzi yake na Yanga, aligharamia mchakato wa Mabadiliko, leo hii Yanga inaendeshwa kisasa ikiwa klabu ya kwanza kufanya mchakato wa mabadiliko kwa uwazi hapa Tanzania

Katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake, Wananchi tunamuomba kheri, azidi kufanikiwa ili aendelea kuwapa furaha Wananchi

HAPPY BIRTHDAY GSM

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
2h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
17h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
23h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’