Tutaanzia tulipoishia msimu uliopita - Kamwe

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Nov 2023
Tutaanzia tulipoishia msimu uliopita - Kamwe

Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Yanga Ali Kamwe amesema wanatambua mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya CR Belouizdad utakuwa mgumu kwa kuwa wapinzani  wao pia wana timu nzuri

Hata hivyo Kamwe amesema wana imani na ubora wa kikosi walichonacho pamoja na benchi la ufundi chini ya kocha Miguel Gamondi

Novemba 24 Yanga itakuwa ugenini huko Algeria kuwakabili mabingwa wenzao CR Belouizdad Wananchi watahitaji ushindi au hata alama moja

"Kila kitu kinaenda vizuri kuelekea mchezo wetu huo dhidi ya CR Belouizdad, benchi la ufundi linaendelea kukisuka kikosi kwenda kutafuta matokeo mazuri ugenini"

"Licha ya wachezaji kutokamilika wote, wengine wakiwa kwenye majukumu ya timu za Taifa, lakini Kocha (Gamondi) anaendelea kuwaweka imara nyota waliopo kambini" 

"Ukiangalia rekodi za msimu uliopita mashindano ya kimataifa ugenini tumefanya vizuri, msimu huu tunataka kuanzia tulipoishia," alisema Kamwe.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’