Hivi karibuni Mkurugenzi wa Bodi ya ligi kuu ya Vodacom Boniface Wambura alitangaza mabadiliko ya ratiba ya ligi kuu ya Vodacom ikiwa ni pamoja na kutangaza tarehe za michezo ya viporo.
Yanga ambayo mpaka sasa imeshuka dimbani mara 22, imebaki na michezo 8 ya ligi na mchezo mmoja wa kombe la Shirikisho Barani Afrika.
Hata hivyo ratiba inaweza kubadilika kama Yanga itatinga hatua ya makundi kombe la Shirikisho.
Ratiba kamili ya michezo yote ya Yanga iliyobaki iko kwenye ukurasa wa ratiba wa Mwana Jangwani

ADVERTISE HERE