Tukio la aina yake linakwenda kujiri Makao Makuu ya klabu ya Yanga kesho Jumapili pale Wananchi watakapokutana Jangwani kwenye Wananchi Supu Day
Maandalizi kuelekea tukio hilo kubwa yamekamilika ambapo ng'ombe 10 watachinjwa na kila Mwananchi atakayefika Jangwani atakunywa supu
Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Yanga Ali Kamwe amewaalika Wananchi wafike kwa wingi wakiwa na chapati, maandazi, vitumbua, pilipili na chochote ambacho wanaona kinafaa kuliwa sambamba na supu

ADVERTISE HERE