Timu ya Yanga imepokea mwaliko rasmi wa kushiriki michuano ya Sportpesa ambayo mwaka huu itafanyika nchini Kenya ikiingia kwenye msimu wake wa pili.
Uongozi wa Yanga umethibitisha kupokea mwaliko huo ambapo michuano hiyo itafanyika jiji la Nairobi kuanzia Juni 04 mpaka Juni 10 2018.
Michuano hiyo inahusisha timu zote zinazodhaminiwa na kampuni ya Sportpesa barani Afrika.
Kwa Tanzania pamoja na Yanga, Singida United na Simba nazo zinatarajiwa kushiriki michuano hiyo ambayo msimu huu itahusisha timu kutoka Kenya na Afrika Kusini

ADVERTISE HERE