Mpya

If you have evidence of corruption, go to TAKUKURU - Simon

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Nov 2023
If you have evidence of corruption, go to TAKUKURU - Simon

Legal Director of the Yanga club Simon Patrick has supported the statement made in Parliament today by Hon. George Simbachawene, Minister Office of the President - Management of Public Service and Good Governance that if Simba Sc has evidence of some of players being bribed leading to a 5-1 defeat from Yanga, then it is better that they file their complaint to the office of TAKUKURU

"Kwa mujibu wa kifungu na. 15 cha sheria na. 329, kama ilivyofanyiwa marejeo mwaka 2022, kinasema kutoa na kupokea rushwa ni kosa la jinai na adhabu yake ni faini pamoja na kifungo kuanzia miaka 3 mpaka 5.

Kama mnahisi kuna wachezaji au viongozi walipokea rusha, ni vyema kufuata ushauri wa Mh. Simbachawene leo Bungeni kwenda ofisi za TAKUKURU - Temeke kufungua kesi, kisha kuiandikia TFF na FIFA ili hatua kali zichukuliwe kwa maendeleo ya mpira wetu.

Lakini kumbukeni, kumtuhumu mtu kwa kosa kubwa kama hilo bila ushahidi adhabu yake unaweza kuishia kulipa mabilioni ya fedha kwa reputation damage.

Ushauri wa bure, nendeni mkafungue kesi kama mna ushahidi, kinyume na hapo jipangeni upya mpira ni mchezo wa wazi, nyie sio timu ya kwanza kupigwa 5G msimu huu.

Haiwezekani wachezaji wa kuteka Airport waje wapambane na wachezaji waliofanyiwa scouting!"

More Stories

Yanga Complete Preparations Ahead of Gaborone United CAF Champions League Clash
Yanga Complete Preparations Ahead of Gaborone United CAF Champions League Clash
6h ago
READ MORE β†’
Toure Confident His Goals Will Come as He Adapts to Life at Yanga
Toure Confident His Goals Will Come as He Adapts to Life at Yanga
10h ago
READ MORE β†’
Mngqithi Named NBC Premier League Coach of the Month for August
Mngqithi Named NBC Premier League Coach of the Month for August
12h ago
READ MORE β†’
Gomez Calls on Yanga Fans to Fill Azam Complex Ahead of Gaborone United Decider
Gomez Calls on Yanga Fans to Fill Azam Complex Ahead of Gaborone United Decider
13h ago
READ MORE β†’
Mngqithi Warns Yanga Against Complacency Ahead of Gaborone United Decider
Mngqithi Warns Yanga Against Complacency Ahead of Gaborone United Decider
13h ago
READ MORE β†’
Mngqithi Reveals Aziz Ki’s Fitness Limit Ahead of Gaborone United Return Leg
Mngqithi Reveals Aziz Ki’s Fitness Limit Ahead of Gaborone United Return Leg
16h ago
READ MORE β†’
Yanga Fans Snap Up Tickets Ahead of Gaborone United Decider
Yanga Fans Snap Up Tickets Ahead of Gaborone United Decider
16h ago
READ MORE β†’
Mngqithi Believes Yanga Can Reach CAF Champions League Final
Mngqithi Believes Yanga Can Reach CAF Champions League Final
17h ago
READ MORE β†’
Today's Newspapers, Friday, September 11, 2026
Today's Newspapers, Friday, September 11, 2026
20h ago
READ MORE β†’
Pacome Visits Yanga Teammates as He Continues Recovery from Injury
Pacome Visits Yanga Teammates as He Continues Recovery from Injury
1d ago
READ MORE β†’