Mchezo wa Simba na Yanga kupigwa April 29

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Mar 2018
Mchezo wa Simba na Yanga kupigwa April 29
Mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga sasa utapigwa April 29 2018 hiyo ikiwa mara ya tatu mchezo huo kuhamishwa tarehe mpya.

Mkurugenzi wa Bodi ya Ligi Boniface Wambura amethibitisha mchezo huo kupangwa kupigwa April 29 baada tarehe ya awali (April 06) kushindikana kwani Yanga itakuwa na majukumu ya kombe la Shirikisho April 07.

Aidha mchezo wa kiporo kati ya Mtibwa Sugar dhidi ya Yanga nao umepangwa kupigwa Mei 09, 2018.

Mchezo huo uliahirishwa ili kuipa Yanga nafasi ya kujiandaa na mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Township Rollers.

Ratiba kamili ya michezo ya Yanga iliyobaki tutaiweka kwenye ukurasa wa Ratiba lakini kwa ufupi iko hivi;

11/04/2018 (Wed) Yanga vs Singida United

29/04/2018(Sun) Simba vs Yanga

1/05/2018(Tues) Mbeya city vs Yanga

5/05/2018(Sat)Yanga vs Mbao

9/05/2018(Wed) Mtibwa vs Yanga

12/05/2018 (Sat) Mwadui vs Yanga

16/05/2018(Wed) Prisons vs Yanga

20/05/2018(Sun) Yanga vs Ruvu

26/05/2018(Sat) Yanga vs Azam
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’