Mashabiki Yanga kuwapongeza wachezaji dakika ya 5 Mkwakwani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Nov 2023
Mashabiki Yanga kuwapongeza wachezaji dakika ya 5 Mkwakwani

Kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union ambao utapigwa leo Jumatano katika uwanja wa Mkwakwani, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ally Kamwe amewataka mashabiki kusimama dakika ya 5 kwa ajili ya kuwapongeza wachezaji wao

Ni kutokana na ushindi wa mabao 5-1 walioupata dhidi ya Simba Jumapili, Novemba 5

"Mashabiki wa Yanga tutakaoingia Mkwakwani kesho (leo), tunaombwa ikifika dakika ya 5 kwenye mchezo wetu dhidi ya Coastal Union, tusimame wote na kuinua mkono mmoja juu tukionyesha ishara ya vidole vitano"

"Hii ni kwa ajili ya kuwapongeza wachezaji wetu kwa kazi nzuri waliyoifanya. Hata wale mtakaokuwa nyumbani au kwenye vibanda umiza hakikisheni pia mnasimama na mnitumie clip,” alisema Kamwe

Yanga inasaka alama tatu jioni hii uwanja wa Mkwakwani kwenye mchezo huo utakaopigwa saa 12:30 jioni

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’