Mzize gari limewaka!

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Nov 2023
Mzize gari limewaka!

Dakika 21 alizotumika kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba zilikuwa chungu kwa watani akihusika katika mabao mawili kati ya matano yaliyofungwa na Yanga katika ushindi wa mabao 5-1

Mzize msimu huu bado hajafunga bao kwenye ligi lakini ushiriano wake na wenzake pale mbele umekuwa na faida kubwa kwa Yanga

Katika mchezo dhidi ya Simba alitoa 'assist 2' na sasa amefikisha assist tatu katika ligi kuu ya NBC msimu huu. Yao Kouassi ndiye kinara wa assist kweny ligi akiwa nazo tano

Katika mchezo dhidi ya Simba Kocha Miguel Gamondi alianza na Kennedy Musonda kwenye safu yake ya ushambuliaji na Mzambia huyo alifunga bao la kwanza la Yanga likiwa bao lake la pili kwenye ligi msimu huu

Gamondi alimtoa Musonda kwenye kipindi cha pili na kumuingiza Mzize aliyewavuruga mabeki wa Simba ambao pengine walilala na viatu kutokana na kile alichowafanyia Mzize

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’