Nahodha wa Yanga Bakari Nondo Mwamnyeto leo ni siku yake muhimu ya kumbukumbu ya kuzaliwa
Lakini pia ni siku muhimu kwa Wananchi kwani ataiongoza Yanga kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba ambao utapigwa saa 11 jioni
Bila shaka, Mwamnyeto atasherehekea siku hii kwa furaha baada ya dakika 90 za ushindi dhidi ya Simba
Happy Birthday Mwamnyeto..!
ADVERTISE HERE