Hofu yao ni kubwa kuelekea siku ya Jumapili kwenye Kariakoo Derby pale uwanja wa Benjamin Mkapa
Habari njema kwa mashabiki wa Yanga ni kuwa timu yao itaingia kwenye mchezo huo ikiwa na silaha zote
Jaribio la kutaka wachezaji Khalid Aucho na Mudathir Yahya wafungiwe kutokana na matukio ya mechi zilizopita lilikwama! Mudathir na Aucho wanao Jumapili!
Pacome Zouzoua na Stephane Aziz Ki walipata majeraha madogo katika mchezo uliopita dhidi ya Singida BS wote wamerejea wakiwa imara
Nyota wengine waliokuwa majeruhi, Kennedy Musonda na Farid Mussa nao wamerejea kikamilifu tayari kwa mtanange huo
Mchezo huu una umuhimu mkubwa kwa Yanga, wachezaji wanautaka mchezo kwelikweli
Ni hivi; liwake jua, inyeshe mvua adhabu yao iko palepale...!
#TheClubAboveAll#DaimaMbeleNyumaMwiko pic.twitter.com/pRWZjD2tc3
— Young Africans SC English (@YoungAfricansEN) November 2, 2023