Yao atamaliza msimu na assist ngapi?

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Oct 2023
Yao atamaliza msimu na assist ngapi?

Kwa wastani Yao Kouassi amehusika katika upatikanaji wa mabao kwenye kila mchezo aliotumika kwenye ligi kuu ya NBC msimu huu

Baada ya kukosekana katika mchezo dhidi ya Azam Fc, jana alirejea kikosini na kutengeneza assist ya nne katika ushindi wa mabao 2-0 ambao Yanga walipata dhidi ya Singida BS

Yao angeondoka na assist zaidi kama nafasi nyingine alizotengeneza zingetumika na washambuliaji wa Yanga kufunga

Yao ndiye kinara wa assist katika ligi kuu ya NBC msimu huu akiwa na assist nne na bao moja la kufunga wakati ligi ndio kwanza iko raundi ya saba

Kuna kila dalili msimu huu Yao atawafunika hata viungo washambuliaji kwa idadi ya assist

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’