Wananchi wanasema leo ni FurahiDay, mchezo wa ligi kuu ya NBC kati ya Yanga dhidi ya Singida BS ukipigwa saa 12:15 jioni katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Yanga imemtangaza Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati Mh Dotto Biteko kuwa mgeni rasmi wa mtanange huo
Ni siku ya furaha inayoambatana na ugeni mkubwa!

ADVERTISE HERE