Metacha bado hakijaeleweka Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Oct 2023
Metacha bado hakijaeleweka Yanga

Imeelezwa kuwa mlinda lango Metacha Mnata bado hajarejea kikosini baada ya Kocha Miguel Gamondi 'kumuwekea ngumu' kwa kile kilichoelezwa kuchelewa kurudi kutoka kwenye majukumu ya timu ya Taifa

Nidhamu ya wachezaji ni kipaumbele cha kwanza kwa Gamondi na amekuwa mkali kwa wachezaji ambao hawafuati taratibu zilizowekwa

Metacha alichelewa kujiunga na kikosi cha Yanga baada ya majukumu ya timu ya Taifa na alitakiwa kutoa maelezo kwani hakutoa sababu mapema kwa nini amechelewa

Kwa sasa bado hayuko sehemu ya kikosi akikosa mechi tatu zilizopita kwenye ligi kuu dhidi ya Ihefu Fc, Geita Gold na Azam Fc

Djigui Diarra na Aboutwalib Mshery ndio walinda lango wanaoonekana kwenye mazoezi ya Yanga pale Avic Town

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’