Gamondi awasoma Al Ahly mapema

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Oct 2023
Gamondi awasoma Al Ahly mapema

Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi jana alikuwa uwanja wa Benjamin Mkapa kuwasoma Al Ahly katika mchezo wa AFL dhidi ya Simba uliomalizika kwa matokeo ya sare ya mabao 2-2

Al Ahly wako kundi moja na Yanga (kundi D) katika michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika, hatua ya makundi. Yanga, Al Ahly, CR Belouizdad na Medeama zote ziko kundi D

Ilikuwa nafasi muhimu kwa Gamondi kuwasoma Al Ahly mapema kabla ya kuwakabili kwenye mchezo wa kwanza makundi mwanzoni mwa Februari 2024

Kwa hakika Yanga inayo nafasi ya kufanya vizuri katika michuano ya ligi ya mabingwa msimu huu, Al Ahly hawaonekani kuwa timu ya KUTISHA licha ya kuwa mabingwa watetezi

Bila shaka Yanga ina nafasi ya kufanya vizuri timu hizo zitakapokutana jijini Dar es salaam na hata mchezo wa marudiano ambao utakuwa wa mwisho kuhitimisha hatua ya makundi huko Misri

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’