Yanga Princess imethibitisha uhamisho wa kiraka Maimuna Mussa aliyesajiliwa na klabu ya Istiqlal ya nchini Misri
Baada ya kuwa na msimu mzuri na Yanga Princess, Maimuna amepata nafasi ya kuendeleza makali yake huko Misri katika soka la kulipwa
Maimun alijiunga na Yanga Princess akitokea Simba Queens msimu wa 2022/23 . Pia amewahi kuitumikia JKT Queens kwa mafanikio makubwa
Maimuna anamudu kucheza nafasi ya beki wa pembeni, beki wa kati au kiungo mkabaji
Kila la kheri Maimuna..!
ADVERTISE HERE