Kikosi cha Yanga kinaendelea na mazoezi Avic Town kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Azam Fc ambao utapigwa Jumapili, Oktoba 22 katika uwanja wa Azam Complex
Habari njema kwa Wananchi ni kurejea mazoezini kwa wachezaji saba ambao walikuwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars'








ADVERTISE HERE