Stars mikononi mwa wababe Morocco Afcon 2023

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Oct 2023
Stars mikononi mwa wababe Morocco Afcon 2023

Shirikisho la Soka Afrika (CAF ) usiku wa jana lilipanga makundi sita yenye timu nne zitakazoshiriki michuano ya AFCON 2023 nchini Ivory Coast kuanzia January 13 2024

Tanzania imepangwa Kundi F sambamba na timu namba moja kwa ubora barani Afrika, Morocco washiriki wa nusu fainali ya kombe la Dunia 2022. Katika kundi hilo pia zimo Congo DR na Zambia

Mechi zao zitachezwa katika Mji wa San-Pedro nchini Ivory Coast ambapo ni umbali wa Kilometa 337 kwa gari kutokea mji Mkuu wa nchi hiyo Abidjan

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’