Thabani Kamusoko na Amissi Tambwe wamekuwa wakifanya program maalum ya mazoezi ya Gym kuimarisha zaidi miili yao baada ya kuwa nje kwa muda mrefu kutokana na majeruhi.
Wawili hao leo walikutana uso kwa uso na kiungo wa Simba Haruna Niyonzima ambaye nae ameanza mazoezi hivi karibuni baada ya kutoka India kutibiwa majeraha ya kifundo cha mguu.
Misimu miwili iliopita Kamusoko na Niyonzima walikuwa wakiunda kiungo bora katika kikosi cha Yanga wakati Tambwe alikuwa akizifumania nyavu apendavyo.
Wote wamekuwa na msimu mbaya kwenye timu zao baada ya kukumbwa na majeraha yaliyowaweka nje kwa muda mrefu.

ADVERTISE HERE