Wapya Yanga wanauwasha moto tu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Oct 2023
Wapya Yanga wanauwasha moto tu

Wakati baadhi ya timu ambazo zilifanya usajili wa mbwembwe katika dirisha lililopita zikiendelea kuomba wachezaji wake waendelee kupewa muda, hali ni tofauti kwa nyota waliosajiliwa na Yanga

Katika takwimu za wachezaji waliofanya vizuri mpaka sasa msimu huu, Yanga ina nyota wake wengi wamejipambanua kwa ubora wao

Ukizungumzia vinara wa kutoa pasi za mabao, Yao Kouassi anaongoza akiwa na assist 3, lakini katika orodha hiyo pia wamo Maxi Nzengeli na Pacome Zouzoua wenye assist mbili kila mmoja

Ukizungumzia vinara wa kupachika mabao, Maxi, Pacome kila mmoja amefunga mabao matatu wakati Hafiz Konkoni, Yao wakiwa wamepachika bao moja kila mmoja

Unaweza kusema ni wachezaji wawili tu Skudu Makudubela na Gift Fred ambao bado hawajaonekana vya kutosha kutokana na ushindani uliopita

Skudu alikuwa nje kwa muda mrefu kutokana na majeruhi, taratibu ameanza kutumika huku Fred akiendelea kupatiwa nafasi kadiri yanapotokea mahitaji

Yanga ina safu bora ya ulinzi, Fred ana kazi kujihakikisha nafasi ya kucheza mbele ya Bakari Mwamnyeto, Dickson Job na Ibrahim Bacca

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’