Baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Geita Gold hapo jana, kikosi cha Yanga kimeondoka jijini Mwanza kurejea Dar
Ligi inatarajiwa kusimama kwa wiki mbili kupisha kalenda ya FIFA na baada ya mapumziko hayo mchezo utakaofuata ni dhidi ya Azam Fc ukitarajiwa kupigwa Oktoba 25 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Huu utakuwa mchezo muhimu kwa Yanga katika mkakati wao wa kutetea taji la ligi kuu ya NBC kwa msimu wa tatu mfululizo
Dar es SalaamβοΈ#TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko pic.twitter.com/txk7qkyK4h
— Young Africans SC (@YoungAfricansSC) October 8, 2023
ADVERTISE HERE