Yanga imepeleka 'maokoto' Mbarali

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Oct 2023
Yanga imepeleka 'maokoto' Mbarali

Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe aliwahi kuwashauri Azam Media kutokana na ubora ambao Yanga wameuleta kwenye ligi kuu ya NBC msimu huu, ni vyema wakaongeza bei za vifurushi! (Ilikuwa utani). Baadae Azam Media wakatangaza bei mpya ya vifurushi!

Leo Yanga iko mkoani Mbeya ambapo majira ya saa 10 jioni Wananchi watakuwa uwanja wa Highland Estates kuikabili Ihefu Fc katika mchezo wa ligi kuu ya NBC

Kwa mara ya kwanza Ihefu Fc wakatangaza kiingilio cha VIP kuwa Tsh 30,000/-wakati kiingilio cha chini Mzunguuko Tsh 10,000/-

Yanga ni kama wameyapeleka 'maokoto' Mbarali kwani pasipo na shaka uwanja wa Highland Estates leo hautatosha kwa idadi ya mashabiki ambao watajitokeza kushuhudia mchezo huo pasipo kujali gharama ya viingilio

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
48m ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
4h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
19h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’