Kiungo mahiri wa Yanga Papi Kabamba Tshishimbi leo amekabidhiwa zawadi yake na wadhamini wa ligi kampuni ya Vodacom baada ya kuibuka mchezaji bora wa mwezi wa pili.
Tshishimbi amekabidhiwa kiasi cha Tsh Milioni moja pia akitarajiwa kukabidhiwa kin'gamuzi cha Azam TV kutoka kwa wadhamini wengine wa ligi, kampuni ya Azam.
Tshishimbi aliibuka mchezaji bora wa mwezi wa pili baada ya kuwashinda mchezaji wenzake wa Yanga Pius Buswita na Emanuel Okwi.
Kwenye mwezi wa pili Tshishimbi aliisaidia Yanga kushinda michezo yote minne, akifunga mabao matatu na kutengeneza bao moja

ADVERTISE HERE