Wababe 11 waliotinga makundi CAF CL

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Oct 2023
Wababe 11 waliotinga makundi CAF CL

Mabingwa wa soka Tanzania Bara Yanga ni miongoni mwa timu 11 ambazo tayari zimekata tiketi ya kutinga hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika

Yanga imetinga makundi kibebe kwa ushindi wa nyumbani na ugenini dhidi ya Al Merrikh

Ushindi wa mabao 2-0 katika mchezo wa mkondo wa kwanza, jana ikamaliza kazi pale Azam Complex kwa ushindi mwingine wa bao 1-0 na hivyo kutinga makundi kwa ushindi wa jumla wa mabao 3-0

Hii hapa orodha ya timu 11 ambazo tayari zimetinga makundi wakati timu zingine tano zitaongezeka baada ya mechi zitakazopigwa leo na kesho Jumatatu

  1. Al Ahly Cairo
  2. Pyramids
  3. Jwaneng Gallaxy
  4. Young Africans
  5. Medeama
  6. Mamelodi Sundowns
  7. Esperance
  8. Etoile Du Sahel
  9. Petro Atletico
  10. TP Mazembe
  11. Wydad Casablanca

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
8h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
13h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
17h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
18h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
18h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’