Imewezekanaaaa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Oct 2023
Imewezekanaaaa

Habari ndio hiyo!, miaka 25 ya kusubiri kucheza hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa imemalizika kwa Yanga kutinga hatua hiyo

Pongezi kwa Kocha Miguel Gamondi na benchi lake la ufundi kwa kazi nzuri waliofanya kwakuunda timu bora

Pongezi wanastahili wachezaji wote kwa kuhakikisha wanamaliza kiu ya mashabiki wa Yanga ambao walikuwa wamechoshwa na tambo za watani zao ambao waliamini ni wao pekee kwenye ardhi ya Tanzania wanastahili kucheza hatua hiyo

Pongezi zaidi ni kwa bosi GSM ambaye kwa hakika uwekezaji katika misimu mitatu, mafanikio yake yanaonekana

Mashabiki wa Yanga pia wapewe mauwa yao kwa kuwa bega kwa bega na timu kila ilipocheza iwe nyumbani au ugenini

Ni wazi msimu huu unaweza kuwa bora zaidi kwa Yanga katika hatua ya makundi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
4h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
13h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’