FT : Yanga 1-0 Al Merrikh

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Sep 2023
FT : Yanga 1-0 Al Merrikh

Yanga imetinga hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Al Merrikh katika mchezo wa mkondo wa pili uliopigwa uwanja wa Azam Complex

Bao lililofungwa na Clement Mzize kwenye kipindi cha pili liliihakikishia Yana ushindi wa jumla wa mabao 3-0

Mzize aliweka kambani bao hilo kwa kichwa akiunganisha krosi ya Joyce Lomaliza Mutambala

Ilikuwa ni Aziz Ki Day iliyofana mashabiki wa Yanga wakifurika dimba la Azam Complex kuhanikiza ushindi huo

Ni takribani miaka 25 imepita tangu Yanga icheze hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa, Wananchi wamerejea katika hatua hiyo

Awamu ya kwanza ya mkakati wa Yanga ilikuwa kutinga makundi sasa awamu ya pili inafuata..!

Nani alisema Yanga haiwezi kwenda makundi ligi ya mabingwa? Habari ziwafikie, tumetangulia makundi..!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’