Wananchi tutashikilia hapa hadi mwisho

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Sep 2023
Wananchi tutashikilia hapa hadi mwisho

Baada ya mechi tatu za ligi kuu ya NBC unaweza kusema maji yameanza kujitenga na mafuta

Mabingwa watetezi Yanga mapema tu wako kileleni mwa msimamo wa ligi wakishinda mechi zote tatu huku wakipachika mabao 11 pasipo wavu wao kuguswa

Ni Yanga na Mashujaa Fc pekee ambazo hazijaruhusu bao mpaka sasa baada ya mechi tatu

Yanga imejipambanua kwa ubora wake uwanjani na haihitaji wachambuzi kuitetea kila baada ya mechi!

Ukisikiliza vipindi vya michezo kuna timu inatetewa sana na wachambuzi licha ya timu hiyo kupata ushindi. Hata ukiwaangalia mashabiki wake hawana furaha!

Kuna nguvu kubwa ilitumiwa na baadhi ya timu wakati dirisha la usajili likiwa wazi kuwaaminisha mashabiki wao kuwa wamesajili wachezaji bora lakini sasa wanalazimika kuomba sapoti wa wachambuzi katika vipindi vya michezo kwa kuwa kinachoonekana uwanjani sio kile kile kilichotarajiwa!

Sisi Wananchi tunasema tutashikilia hapa hapa mpaka mwisho wa msimu

Huu ndio msimu ambayo timu bora katika soka la ndani na Kimataifa itafahamika!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’