Katibu Mkuu wa Yanga Charles Mkwasa amesema jarida la klabu ya Yanga lililokuwa linatoka mara moja kwa mwezi limesitishwa kwa muda ili kufanya tathmini ya kibiashara.
Mkwasa amesema baada ya mambo kadhaa kuwa sawa, Jarida hilo litarejea sokoni sambamba na huduma nyingine mpya zilizozinduliwa juzi.
Juzi Yanga imezindua huduma ya kuwahabarisha mashabiki kupitia ujumbe mfupi 'SMS' pamoja na Yanga TV Show.
Yanga pia imetengeneza Kalenda kwa ajili ya mwaka 2018, ambazo tayari ziko sokoni.

ADVERTISE HERE