Mwamnyeto arejea kikosini

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Sep 2023
Mwamnyeto arejea kikosini

Nahodha wa Yanga Bakari Mwamnyeto amerejea kikosini baada ya kumaliza changamoto za kifamilia zilizokuwa zinamkabili

Mwamnyeto hakuwa sehemu ya kikosi kilichosafiri Rwanda katika mchezo wa mkondo wa kwanza kuwania tiketi ya kutinga hatua ya makundi ligi ya mabingwa dhidi ya Al Merrikh Yanga ikiibuka na ushindi wa mabao 2-0

Akizungumza katika Mkutano na Wanahabari mapema leo, Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe alisema Mwamnyeto ni miongoni mwa wachezaji ambao wataingia kambini leo kujiandaa na mchezo dhidi ya Namungo Fc

"Kama tulivyotangaza kabla ya timu kusafiri Rwanda, Nahodha wetu Bakari Mwamnyeto alipewa ruhusu na kocha Miguel Gamondi ili akashughulikie matatizo ya kifamilia"

"Taarifa njema ni kuwa Mwamnyeto amemaliza changamoto zake na leo atakuwa miongoni mwa wachezaji watakaorejea mazoezini Avic Town na kuingia kambini kujiandaa na mchezo dhidi ya Namungo"

"Timu ilirejea kutoka Rwanda jana usiku na wachezaji kupewa ruhusa kwenda makwao, leo jioni watarejea mazoezini AVic Town na kuingia kambini," alisema Kamwe

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’