Baada ya ushindi mnono wa mabao 2-0 dhidi ya Al Merrikh katika mchezo wa mkondo wa kwanza kuwania tiketi ya kutinga hatua ya makundi ligi ya mabingwa barani Afrika, kikosi cha Yanga kimeondoka Rwanda kurejea Tanzania
Kabla ya kuanza safari ya kurejea Tanzania, Yanga ilipata nafasi ya kutembelea kumbukumbu ya mauaji ya halaiki ya Rwanda na pia kupata chakula cha mchana katika ubalozi wa Tanzania nchini Rwanda






ADVERTISE HERE