Hapo ni Pele Stadium sio Azam Complex

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Sep 2023
Hapo ni Pele Stadium sio Azam Complex

Achana na ushindi wa mabao 2-0 ambao Yanga waliupata dhidi ya Al Merrikh na kujiweka katika nafasi nzuri ya kutinga hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa barani Afrika, historia iliandikwa nchini Rwanda jana kwa mashabiki wa Yanga kujaza uwanja wa Pele

Hili linaweza kuwa tukio kubwa la kwanza kwenye soka la Afrika kwa mashabiki kusafiri kwa wingi na kwenda kujaza uwanja wakiwa ugenini

Kwa hakika ukubwa wa timu ya mpira wa miguu hautokani na tambo za mitandaoni, Yanga inaonyesha ukubwa wake kwa vitendo...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
9h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
13h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
18h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’