Droo ya makundi ya ligi ya mabingwa pamoja na raundi ya mtoano kombe la shirikisho imefanyika leo jiji la Cairo nchini Misri.
Township Rollers iliyoiondosha Yanga kwenye raundi ya kwanza imepangwa kundi A sambamba na Al Ahly ya Misri, KCCA ya Uganda na E.S.T ya Tunisia.
Difaa El Jadida anayecheza Mtanzania Saimon Msuva imepangwa kundi B pamoja na TP Mazembe, Mouloudia na E.S. Setifiene ya Algeria.
HAYA HAPA MAKUNDI

MTOANO KOMBE LA SHIRIKISHO

ADVERTISE HERE