Habari njema kwa Taifa Stars

Yanga Damu By Yanga Damu
β€’
21 Jul 2017
Habari njema kwa Taifa Stars
Shirikisho la Soka barani Afrika (Caf) limefanya marekebisho kidogo kwa michuano ya mataifa barani Afrika (AFCON) kwa kuongeza idadi ya timu zitakazoshiriki fainali kutoka 16 hadi 24.

Aidha CAF imebadili kalenda ya michuano hiyo kutoka mwezi wa Februari hadi Juni.

Mabadiliko hayo yataanza rasmi katika michuano ya mwaka 2019 itakayofanyika nchini Cameroon.

Hii ni habari njema kwa timu yetu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ambayo sasa itahitaji kumaliza moja ya nafasi mbili za juu katika hatua ya makundi ili kukata tiketi ya kushiriki fainali ya michuano hiyo mwaka 2019.

Mara ya mwisho Stars kucheza fainali za AFCON ilikuwa mwaka 1980 wakati huo ikiundwa na kikosi cha akina Boniface Mkwasa ambaye sasa ni Katibu Mkuu wa Yanga.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
19h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
23h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’