Baada ya mapumziko ya siku mbili, kikosi cha Yanga kimerejea mazoezini kuendelea na maandalizi ya mchezo wa kuwania kufuzu hatua ya makundi ya klabu Bingwa Afrika dhidi ya El Merrikh El Merrikh
Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi leo aliwapeleka wachezaji wakwe ufukweni akiwapa mazoezi maalum ya kuimarisha misuli na kuongeza utimamu wa mwili 'fitness'








ADVERTISE HERE