Yanga Princess yashusha mshambuliaji kutoka Morocco

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Sep 2023
Yanga Princess yashusha mshambuliaji kutoka Morocco

Baada ya kutangaza kuachana na wachezaji 13, Yanga Princess leo imeanza kutambulisha wachezaji wapya waliosajiliwa

Usajili wa kwanza ni mshambuliaji hatari Adejoke Ejalonibu raia wa Nigeria aliyekuwa akiitumikia Raja Casablanca ya Morocco

Mshambuliaji huyo pia amewahi kuitumikia Nasarawa Amazons Fc inayoshiriki ligi kuu ya Wanawake huko Nigeria

Anakuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa na Yanga Princess katika dirisha hili la usajili     

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’