Johora nyota imen'gara

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Sep 2023
Johora nyota imen'gara

Mlinda wa Geita Gold Erick Johora ni mmoja wa magolikipa watatu walioitwa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kwa ajili ya mchezo wa kuwania kufuzu Afcon 2023 dhidi ya Algeria

Mchezo huo utapigwa Septemba 07 huko Algeria, Taifa Stars ikihitaji angalau alama moja kuweza kufuzu

Stars imeweka kambi Tunisia kwa ajili ya maandalizi ya mchezo huo

Johora alijiunga na Geita Gold katika dirisha la usajili lililofungwa jana akitokea klabu ya Yanga ambayo ilimpa mkono wa kwaheri baada ya mkataba wake kumalizika

Johora alionyesha kiwango bora katika mechi mbili za kwanza za ligi kuu msimu huu akiisaidia Geita Gold kukusanya alama nne pasipo kuruhusu bao

Katika kikosi cha Stars amekutana na Metacha Mnata na Beno Kakolanya. Unaweza kusema nyota yake imeng'ara

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
17h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
22h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’