Saba Yanga waitwa timu ya Taifa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Aug 2023
Saba Yanga waitwa timu ya Taifa

Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Adel Amrauche ameita wachezaji 25 katika kikosi kitakachoikabili Algeria katika mchezo wa kuwania kufuzu fainali za Afcon 2023

Septemba 07 Stars itashuka dimbani huko Algeria katika mchezo ambao Tanzania inahitaji angalau alama moja tu ili kufuzu

Wachezaji saba wa Yanga wamejumuishwa katika kikosi hicho

Wachezaji hao ni mlinda lango Metacha Mnata, walinzi ni Ibrahim Bacca, Bakari Mwamnyeto na Dickson Job

Viungo ni Mudathir Yahya na Jonas Mkude wakati Clement Mzize akijumuishwa kwenye safu ya ushambuliaji

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
1h ago
READ MORE β†’
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
13h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
17h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
21h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
22h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1d ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’