Ninja atambulishwa Fc Lubumbashi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Aug 2023
Ninja atambulishwa Fc Lubumbashi

Aliyekuwa beki wa Yanga, Abdalla Haji Shaibu 'Ninja' amejiunga na FC Lubumbashi ya DR Congo inayoshiriki Ligi Kuu nchini humo

Shaibu ametua Lubumbashi akiwa mchezaji huru baada ya mkataba wake na Yanga kumalizika. Ninja alitambulishwa na timu hiyo jana akisaini mkataba wa miaka miwili

Shaibu ameungana na wachezaji kama George Mpole (Fc Lupopo) na Said Khamis (AS Vita) Watanzania ambao wanacheza ligi kuu ya DR Congo

Mbali na kuitumikia Yanga kwa vipindi viwili tofauti, Shaibu pia amewahi kuitumikia LA Galaxy inayoshiriki ligi kuu ya Marekani akicheza na nyota kama Zlatan Ibrahimovic

Awamu yake ya pili na Yanga hakuwa na wakati mzuri kutokana na majeraha yaliyokuwa yakimsumbua mara kwa mara

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’