Baada ya ushindi wa mabao 5-1 dhidi ya Asas Fc jana katika mchezo wa ligi ya mabingwa, kikosi cha Yanga hakina muda wa kupoteza kwani leo wachezaji wamerejea mazoezi kujiandaa na mchezo unaofuata katika ligi kuu ya NBC dhidi ya JKT Tanzania
Yanga imepania kushinda mchezo huo ili kupanda kileleni mwa msimamo wa ligi
Katika misimu miwili iliyopita, Yanga ilipokaa kileleni, haikushuka mpaka msimu unamalizika!
Safari hii Wananchi wamepania kukaa kileleni mapemaaaa








ADVERTISE HERE