Kituo kinachofuata ni JKT Tanzania

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Aug 2023
Kituo kinachofuata ni JKT Tanzania

Baada ya kufuzu raundi ya kwanza michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika, Yanga inarejea tena kwenye mikiki ya ligi kuu ya NBC

Jumanne, August 29 wananchi wanarudi tena uwanja wa Azam Complex kuikabili JKT Tanzania

Matokeo ya ushindi yanaweza kuipeleka Yanga kileleni mwa msimamo wa ligi 

Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe ametamba kuwa muda wa kumshusha tembo aliyepanda juu ya mti umefika

Yanga inashika nafasi ya nne katika msimamo wa ligi ikiwa na alama tatu na mabao matano ya kufunga

Ushindi unaweza kuwapeleka kileleni mwa msimamo kutegemeana na matokeo ya mchezo kati Azam Fc dhidi ya Tanzania Prisons utakaopigwa kesho Jumatatu katika uwanja wa Azam Complex

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’