Ninja kuibukia DR Congo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Aug 2023
Ninja kuibukia DR Congo

Aliyekuwa mlinzi wa Yanga Abdallah Shaibu 'Ninja' msimu huu atacheza Ligi Kuu ya DR Congo baada ya kukamilisha usajili kujiunga na klabu ya Fc Lubumbashi

Ninja anatua Fc Lubumbashi akiwa mchezaji huru baada ya mkataba wake na Yanga kumalizika

Beki huyo kutoka visiwani Zanzibar alikuwa sehemu ya kikosi cha Yanga kwa nyakati tofauti tangu mwaka 2018

Msimu uliopita hakuwa na nafasi ya kuitumikia Yanga baada ya kupata majeraha na baadae kutolewa kwa mkopo kwenda Dodoma Jiji

Mkopo wake wa miezi 6 ulipomalizika alirejea Yanga kumalizia mkataba wake wa miezi sita uliokuwa umebaki

Ninja ni mmoja wa mabeki waliokuwa wakitabiriwa makubwa pengine majeraha yalimrudisha nyuma, hii inaweza kuwa nafasi yake ya 'kujitafuta' upya

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’