Yanga ni mwendo wa bandika bandua

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Aug 2023
Yanga ni mwendo wa bandika bandua

Yanga inatarajiwa kucheza mechi tatu ndani ya wiki moja katika uwanja wa Azam Complex kabla ya mapumziko ya kalenda ya Kimataifa

Kesho Jumatano Wananchi watashuka uwanja wa Azam Complex kuikabili KMC katika mchezo wa ligi kuu ya NBC

Siku ya Jumamosi, August 26 Yanga itarudi tena uwanjani, ukiwa ni mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa barani Afrika hatua ya awali dhidi ya Asas Fc

Siku tatu baadae August 29 Wananchi watashuka tena uwanja wa Azam Complex kumenyana na JKT Tanzania katika mchezo mwingine wa ligi kuu

Katika siku 9 kutoka tarehe 20 mpaka tarehe 29 Yanga itakuwa imecheza mechi nne zote zikipigwa Azam Complex

Silaha ya kocha Miguel Gamondi ni upana wa kikosi chake, kwani ni wazi atalazimika kufanya mabadiliko ya wachezaji katika baadhi ya mechi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
9h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’