Ligi Kuu ya NBC 2023/24 inaanza rasmi leo Jumanne, August 15 2023 ambapo michezo mitatu inatarajiwa kupigwa katika viwanja mbalimbali

Mabingwa watetezi Yanga wao watasubiri mpaka August 23 kuikabili KMC katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Azam Complex, Chamazi
Yanga haitashuka dimbani wiki hii kwa sababu inakabiliwa na mchezo wa hatua ya awali ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Asas Fc
ADVERTISE HERE