Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza waamuzi wa mchezo wa fainali Ngao ya Jamii kati ya Yanga dhidi ya Simba ambao utapigwa Jumapili katika uwanja wa Mkwakwani
Mwamuzi wa kati ni Jonesia Rukyaa kutoka Kagera akisaidiwa na waamuzi wasaidizi Mohamed Mkono (Tanga) na Hamdan Said kutoka mkoani Mtwara

ADVERTISE HERE