Mapema leo, Mjumbe wa kamati ya utendaji ya Yanga Mh. Seif Gulamali akiongozana na baadhi ya wachezaji walitembelea Taasisi ya Shamsil Maarifil ya malezi ya vijana na watoto walio katika mazingira magumu iliyopo Duga, Tanga na kuwapatia mahitaji mbalimbali




ADVERTISE HERE