Mkwakwani iko tayari kwa Ngao ya Jamii

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Aug 2023
Mkwakwani iko tayari kwa Ngao ya Jamii

Uwanja wa Mkwakwani uko tayari kwa mechi za Ngao ya Jamii ambazo zitapigwa wiki ijayo August 09-13 2023

Uwanja huo umefanyiwa maboresho makubwa na sasa unaonekana kuwa tayari kwa mechi hizo

Yanga ndio mabingwa watetezi, watafungua pazia la nusu fainali kwa kuumana na Azam Fc siku ya Jumatano, August 09 saa 1 usiku

Mchezo wa pili wa nusu fainali ni kati ya Singida FG dhidi ya Simba ambao utapigwa Alhamisi, August 10

Mchezo wa fainali itapigwa Jumapili, August 13 saa 1 usiku ukitanguliwa na mchezo wa kusaka mshindi wa tatu ambao utapigwa saa 9 Alasiri

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’