Aliyekuwa winga wa mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga, Simon Msuva, ameondoka jioni ya leo kuelekea nchini Rwanda na baadae kuunganisha Morocco kujiunga na klabu ya Difaa El Jadida iliyomsajili.
Msuva atacheza mchezo wa kusaka tiketi ya michuano ya CHAN dhidi ya Rwanda siku ya Jumamosi, Julai 22.
Msuva hakusafiri na kikosi cha Stars kilichoondoka jana kuelekea Rwanda kucheza mchezo wa marudiano kusaka tiketi ya michuano ya CHAN inayohusisha wachezaji wa ndani.
Klabu hiyo imemtumia tiketi ya ndege tayari hivyo huenda akaunganisha ndege akitokea Rwanda.

Kila la kheri jembe letu, WanaYanga tutaendelea kukumbuka mchango wako

ADVERTISE HERE