Karibu Jangwani Hafiz Wontah Konkoni

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Jul 2023
Karibu Jangwani Hafiz Wontah Konkoni

Yanga imetangaza usajili wa mshambuliaji Mghana Hafiz Wontah Konkoni kutoka klabu ya Bechem United

Yanga imemsajili Konkoni kuchukua nafasi ya Fiston Mayele ambaye ameuzwa

Konkoni ni pendekezo la kocha Miguel Gamondi ambaye baada ya kukabidhiwa majina ya wachezaji waliokuwa wakiwaniwa na Yanga, akapendekeza usajili wake

Msimu uliopita wa ligi kuu ya Ghana Konkoni alifunga magoli 15 na Assist 3 akiwa katika nafasi ya pili katika orodha ya wafungaji bora

Konkoni pia ni mchezaji wa timu ya Taifa ya Ghana

Karibu Jangwani Konkoni...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’