Maswali yalikuwa mengi kuhusu nafasi ya mshambuliaji anayechukua nafasi ya Fiston Mayele aliyeuzwa na kuijaza Yanga Bilioni 2.8
Yanga leo inajibu maswali yote kwa kumtambulisha rasmi mshambuliaji mpya
Tetesi zilikuwa nyingi lakini sasa majira ya saa 3 usiku Wananchi watapata kumfahamu mfumania nyavu huyo
Ni hivi; katika dirisha hili la usajili Yanga imesajili wachezaji kweli sio majina ya wachezaji....!
ADVERTISE HERE