Yanga imempa mkono wa kwaheri aliyekuwa kiungo wake kiraka Yannick Bangala
Bangala anaondoka Yanga baada ya kuwatumikia Wananchi kwa misimu miwili
Azam Fc inatajwa kumnunua Mcongoman huyo ambaye hakuwa kwenye mipango ya Yanga kuelekea msimu ujao
Kila la kheri kwake....!
ADVERTISE HERE